Psalms 78:36-37


36 aLakini walimdanganya kwa vinywa vyao,
wakisema uongo kwa ndimi zao,

37 bmioyo yao haikuwa thabiti kwake,
wala hawakuwa waaminifu katika agano lake.
Copyright information for SwhKC